Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah, we Snura mbaya wewe ujue, ndio nini kutuchamba vile eti hatuna kazi za kufanya ndio maana tumekuzushia kuwa umejifungua mtoto kwa siri wakati sio kweli, Leo imekuwaje tena umekiri kuwa umejifungua mtoto wa kiume na hukutaka watu wajue kuhusu hilo.

Sasa wakati watu wanaongea si bora ungekaa kimya tu kuliko kudanganya watu kuwa hujajifungua na wala huna mtoto wakati sio kweli.Umehangaika mwenyewe kujificha na mabaibui, tena nasikia haukua cha South Africa wala Mombasa ulikuwa hapa hapa Dar es salaam ukijificha eti watu wasijue kuwa una mimba..

Kazi unayo mwaka huu, kila la heri siye tunaisubiri tu mauno maana tulikumis vibaya, Shilole jipange.
 

Attachments

  • 1425765621581.jpg
    53.7 KB · Views: 3,625
huyu naye alikuwa anaogopa kufahamika kuwa alikuwa ana.to.mbana bila kinga.

single parent imekuwa dili siku hizi, ngoja na mie nitafute mtu nimwambukize mimba aafu nasepa
 
huyu naye alikuwa anaogopa kufahamika kuwa alikuwa ana.to.mbana bila kinga.

single parent imekuwa dili siku hizi, ngoja na mie nitafute mtu nimwambukize mimba aafu nasepa

Utasepea kona gani?
Tutakutafuta kona zote za mji huu huku tukikusindikiza na kigoma cha Uruguayi.
 
Hivi kwanini wanafichaga mimba? mbona kawaida tu kuwa nayo.
 
Kuficha mimba kawaida ila kumficha mtoto jamani,mmh asifanye hivyo.
 
Tamaduni za watu..mtoto kavikwa hirizi kama ya chege

Watu washirikina jamani, sijui ndo kinga mwenzangu khaa sio ushirikina huu ndo maana alikuwa anaficha mimba, uswahili tu nfyuuu et anajifanya na yeye n staa kama Beyonce nfyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…