Picha tafakuri: Legacy ya Ndugai inalindwa kisawasawa

Picha tafakuri: Legacy ya Ndugai inalindwa kisawasawa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Following the footseps of the one and only one speaker bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania na kusini mwa Jangwa la Sahara Job Ndugai aliacha legacy iliyotukuka sana kwa bunge la nchi hii.

Mojawapo ya legacy yake ni kuwaapisha wabunge wasio na chama katika kigereji cha bunge na aliwaahidi kuwalinda kwa gharama yoyote sababu ni wanawake, sasa mrithi wake ambaye ni "mtaalamu wa sheria" naye anafuata nyayo zake kikamilifu akitimiza ahadi hiyo ya kumlinda mzee mdee na binti zake 18.

legacy.jpg
 
Ligasi ya vichaa wawili waliobahatika kutawala taifa la wadanganyika
 
kazi inaendelea ,mlijua mmeula sio.subilini mtajua kuwa hamjui
 
Back
Top Bottom