Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Huyu jamaa anaishi kawaida kabisa japokuwa ndie tajiri namba moja Africa. Hebu ktk hiyo picha tazama
1,Kalamu
2,Mapete vidoleni (hana)
3,Simu ya kawaida kabisa

Sisi ukipata hela za mkopo tu utavaa Mapete vidole vyote,utaning'iniza funguo za kavits ka mkopo hadi za mageti yote ya nyumbani kwako,utajifanya kuzungusha round wakati hela yenyewe ndio hiyohiyo, nk nk Tunaishi kimaigizo sana.
Tuna kiburi,jeuri,tu wavivu wengi wetu,hatuheshimu kazi,tunapenda sana siasa kuliko uchumi,si ajabu tutasalia hivihivi.
Tubadilike watanzania wenzangu.
FREEMAXENCE.
N'yadikwa
 

Attachments

  • 1481829250254.jpg
    42.1 KB · Views: 143
hela zilikosea kwenda kwa huyo
ukiwa na hela inabidi wanaokuchukia wanune kwa matusi yako ya kihela hela
kama mtaani hakuna lami exhaust unaigeuzia chini ukipita vumbi tu mpaka wakikuona wajizibe pua na midomo

hivi hamumuonagi maywather ??
 
kwa mtu kama dangote lengo lake ni kuwa tajiri na sio kuonekana tajiri, ila kwa sisi watu wa kawaida, hatuna pesa sio matajiri kwanini tusivae vizuri tukaonekana kidogo, au mkuu unajua gharama ya hiyo kanzu, ni mshahara wa mtu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…