Picha:Tajiri namba moja lakini anaishi kawaida kabisa

hela zilikosea kwenda kwa huyo
ukiwa na hela inabidi wanaokuchukia wanune kwa matusi yako ya kihela hela
kama mtaani hakuna lami exhaust unaigeuzia chini ukipita vumbi tu mpaka wakikuona wajizibe pua na midomo

hivi hamumuonagi maywather ??
[emoji1] [emoji1] hiyo ya ekzosi chini kali! mzee wa TMT mbwembwe anazielewa
 
Dangote is living large, hujui tu...Ungemsema Warren Buffett ningekuelewa....

Hata Warren buffet ana live large, anajinafikia tu kwenye media kwamba he is frugal, its pointless kuwa na mabilioni ya dola hlf uishi kimaskini labda hela ziwe za masharti Tyta
 






[emoji115] Steve Jobs CEO wa Apple.
Billionaire lakini ukimtizama au kukutana naye utadhani ni mzee anayeshinda kwenye vijiwe vya kahawa yupo simple .

Sasa ww ukipata vi laki 3,5 zako kila mtu atajua utajishebedua,gari ulikimbize ututimulie mivumbi
 
kwa mtu kama dangote lengo lake ni kuwa tajiri na sio kuonekana tajiri, ila kwa sisi watu wa kawaida, hatuna pesa sio matajiri kwanini tusivae vizuri tukaonekana kidogo, au mkuu unajua gharama ya hiyo kanzu, ni mshahara wa mtu huo
Hiyo siku Dangote alitoka na ndege yake binafsi Nigeria akatua Angola, akatoka Angola akatua Tanzania.. Akatoka Tz akatua Ethiopia na jioni akarudi nyumbani Nigeria.. U can imagine ndani ya siku moja ametembelea nchi 4 tofauti.. Kila mtu na matumizi yake. Mwambie mleta uzi aache kupangia watu jinsi ya kuishi
 
Mabilionea wenzake Bill Gates na Warren Buffet ni marafiki na wanapomisi kucheza karata hupaa na Private Jet yao angani wanacheza karata na kunywa na kula huko angani mpaka wanapochoka.. Kila mtu aishi atakavyo pasi kuvunja sheria
 
*Iko hivi*

“Maskini na tajiri wana mawazo tofauti.

Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.

Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.

Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya.

Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri.

Maskini ana mawazo ya kupata pesa bila kufanya kazi.

Tajiri ana mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi.

Maskini hudhani tajiri ana tabia ya kuringa.

Tajiri hupenda kuzungukwa na watu sahihi wenye mawazo sawa na ya kwake.

Maskini hutengeneza pesa kwa kufanya kazi asizozipenda.

Tajiri hutengeneza pesa kwa kufanya kazi anazozipenda.

Maskini hudhani kuwa tajiri lazima usome sana.

Tajiri hudhani kuwa tajiri si lazima usome sana.

Maskini hutamani mambo mazuri ya wakati uliyopita.

Tajiri hutamani mambo mazuri ya wakati unaokuja.

Maskini huamini ili uwe tajiri lazima ufanye kitu fulani.

Tajiri huamini ili uwe tajiri lazima uwe kitu fulani.

Maskini hupenda kuburudishwa kuliko kuelimishwa.

Tajiri hupenda kuelimishwa kuliko kuburudishwa.

Maskini ana woga.

Tajiri hana woga.

Maskini hufundisha watoto wake jinsi ya kupambana na maisha.

Tajiri hufundisha watoto wake jinsi ya kuwa matajiri.

Maskini hana nidhamu ya mapato na matumizi.

Tajiri ana nidhamu ya mapato na matumizi.

Maskini hufanya kazi kwa bidii kupata pesa.

Tajiri hutumia pesa kupata pesa.

Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake.

Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.

Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa.

Tajiri huamini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine.

Maskini ana wivu wa chuki. Tajiri ana wivu wa maendeleo.

Fikiri kama anavyofikiri tajiri.

Ukifikiri tofauti na anavyofikiri tajiri, utakufa maskini.”

Chanyata Ubongo wako sasa!
 

Mkuu umegusi point zote atakeyebisha aendelee tu ila ni kweli.
 
Hawa wengine utajiri wao wa isangoma. Chezea nairaland ww
 
Nimetoka na kitu
 
What apoint.!!...safii
 
Dangote ana private jet huku marubani wake wanahakikisha anawahi madili ya mamia ya dola za Kimarekani. Hivyo vitu vingine kama simu ya gharama ya satellite, portfolio n.k wasaidizi wake ndiyo huzikamata kuhakikisha hapitwi na jambo kubwa la kipesa.
 
Mabilionea wenzake Bill Gates na Warren Buffet ni marafiki na wanapomisi kucheza karata hupaa na Private Jet yao angani wanacheza karata na kunywa na kula huko angani mpaka wanapochoka.. Kila mtu aishi atakavyo pasi kuvunja sheria
Sio KWAMBA na wazungu wanaishi kwa mashart ya kishetan ktk maisha yao
 
Ucforce tufanane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…