Picha: Tanzania kuna vikundi vya waasi ambavyo vinatoa mafunzo ya kijeshi?

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Hii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.

Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
Gput-1.jpg
 
View attachment 1899386
hawa hawana haja na katiba mpya ndo maana waachwa wafanye wanayoona ni vyema.Ila ingekuwa ni kina fulani....
 
Mbona hawajui hata kushika machine hizo...
 
Mwisho wake ni ushetani kama ilivyo kwenye nchi za kiislam

Hii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.

Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
View attachment 1899386
ake
 
Tuache upimbi, hili lilijadiliwa tarehe 10/03/2015 hapa JF. Siyo leo

Onesha Original

Hayo ndio mafunzo mnayopewaga huko Ihemi , mkitoka hapo mnajifanya VI-TISS uchwara.

Hapa katiba tu.

Marufuku Chama Cha Siasa kumiliki vikundi vya ulinzi.
 
Makada hao wanajiandaa kwenda kupiga Mchele sehemu
 
Back
Top Bottom