Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
hawa hawana haja na katiba mpya ndo maana waachwa wafanye wanayoona ni vyema.Ila ingekuwa ni kina fulani....Hii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.
Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
View attachment 1899386
Fake hiiHii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.
Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
View attachment 1899386
Fake hii
USSR
akeHii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.
Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
View attachment 1899386
Tuache upimbi, hili lilijadiliwa tarehe 10/03/2015 hapa JF. Siyo leoHii picha leo imekuwa maarufu sana huko Twitter ikidaiwa kuwa imepigwa Tanzania.
Haya mambo nimezoea kuyaona katika vikundi vya INTERAHAMWE huko Rwanda na Congo.Sijazoea kuona mambo kama haya hapa Tanzania.Serikali ina taarifa na vikundi hivi?
View attachment 1899386
Onesha Original
Hayo ndio mafunzo mnayopewaga huko Ihemi , mkitoka hapo mnajifanya VI-TISS uchwara.
Hapa katiba tu.
Marufuku Chama Cha Siasa kumiliki vikundi vya ulinzi.
hiyo ya kwanza ime-editiwa