PICHA: Tanzania yafikia 16% ujenzi wa reli ya kisasa

Inategemea na ubize wa hio reli. Watu wamefanya utafiti wakaona kwetu sisi reli mbili ni hasara hazitakuwa utilized to the maximum yaani hakutakuwa na treni nyingi kwahio kupishana niiming kwenye station.

Mfano treni moja inatoka Dar moja inatoka Dodoma zinakuja kupishana Morogoro. Nikupe mfano hai London Underground zina reli moja isipokuwa kwenye station reli hio inaji-branch kutoa moja kushoto ingine kulia.
Treni hizo zinapishana kwenye vituo.
 
hapana hakuna hasara... kama ukiwasikiliza wana kwambia kuna vipande vimetengwa kwa ajiri ya kupishana na kuna njia ya kisasa ya mawasiliano na kuruhusu treni kusafiri kila baada ya muda flani ili ziweze kupishana ktk maeneo yaliyo tengwa.. tofauti na hapo ni ajali...

nini maana yake, tunapo elekea tuna itaji kujenga tena reli kwa gharama kubwa pale reli ya sasa kama itakuwa ina mahitaji makubwa... kama leo tuna jenga kwa sh 20... sizani kwa miaka mitano ijayo tutajenga kwa sh 5... ni lazima tutajenga kwa gharama zaidi na mahitaji ya baadae yatakuwa makubwa zaidi...

kama tuna jenga kwa ajiri ya matumizi ya leo tu sawa na ndio tumesha feli tena kwa kiwango standard gauge...

Asante Tanzania
 
Hio hio moja hizo nyingi zinaweza kupishana kwenye vituo kadhaa. Hebu punguzeni ujuaji jamani kila kitu nyinyi mlio nje ndio mnajua kingefanywa vipi?
Nimekupa mfano wa underground zipo nyingi almost moja kila dakika 10 na wanatumia reli moja wanapishana vituoni. Watu wamefanya utafiti kabla ya kujenga hio usifikiri wamejenga tu.
 
tafiti zipo nyingi na zine hazina tija... tafiti kisiwe kichaka mkuu... na kuna tafiti huwa zina feli pia... tafiti zilifanywa bandari ya Dsm lakini hamna kitu, tafiti zilifanywa bandari za tanga, bagamoyo, na mtwara lakini tuna jionea yaliyomo kwa sasa...
 
hatupingi maendeleo ila ni wadau nambari moja wa maendeleo ndio maana tuna kuwa na wasi wasi...
 
Jifunze kabla kutenda.. Sio kila kitu unaleta Unaleta mahaba na Ujinga

Fast moving and heavy bodies huwa hazitembei sambamba kwa sababu ya
Suction effect
 
Jifunze kabla kutenda.. Sio kila kitu unaleta Unaleta mahaba na Ujinga

Fast moving and heavy bodies huwa hazitembei sambamba kwa sababu ya
Suction effect
sina la kumjibu mwenye mahaba na ujinga
 
Maendeleo daima ni nzuri kwa kila mtu. Njia hii itaunganisha wengi na itaifanya maisha yao iwe rahisi. Lakini wakati huo huo walikubaliana na mtazamo wa kila mtu.
 
Vizur Sana kwa maendeleo haya, ila mbona naona njia moja Sasa, wakati inatakiwa njia mbili kwa ajili ya kupunguza kusubiriana kwa treni kwenye vituo, isiwe Kama reli ya kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…