Matumbulu JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 315 Reaction score 265 Jul 12, 2013 #1 Wana jf, kuna simu feki mitaani zinauzwa zikionesha nje zina 64gb, lakini ndani wameka memory card ya 128mb. ndani kuna system ya kuchaji tu na hakuna betri ya kutoa kama tulivyozoea kwenye simu jingine. HII NI KWA THADHAI TU. Attachments IMG_20130712_110757.jpg 270.9 KB · Views: 188 IMG_20130712_110902.jpg 234.5 KB · Views: 203 IMG_20130712_111322.jpg 367.6 KB · Views: 172 IMG_20130712_111356.jpg 245.2 KB · Views: 223
Wana jf, kuna simu feki mitaani zinauzwa zikionesha nje zina 64gb, lakini ndani wameka memory card ya 128mb. ndani kuna system ya kuchaji tu na hakuna betri ya kutoa kama tulivyozoea kwenye simu jingine. HII NI KWA THADHAI TU.
Eistein JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 1,107 Reaction score 482 Jul 13, 2013 #2 asante kwa taarifa, tcra na tbs wapo bize na 10 percent