PICHA : The Butchers of Dar es Salaam

waambieni vyema hao wanaotaka hizo assassination games kuwa uwanja uko wazi hiyo december wanayosema...

Surely is going to be december to remember to up to the grave...
 
Huenda hawa ndio raia wenyewe wa nje walioleta hizo sintofahamu; tafadhari, tafadhari sana kwa mauaji yaliyotokea watu wawajibe na sio kufukuzwa kazi tu bali na kupigwa mvua za kutosha...

Justice needs to be Seen to be done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…