sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,816
Nimejaribu kuwaangalia hawa mastaa kwa dhana ya kioo cha jamii,naona wanatofauti kubwa sana..Wakati wengine wakiwa bize na picha za utupu,starehe na mitoko ya shopping..Wengine wako bize na kuwaelemisha watoto wa kike na kuwapa ujasiri wa kuweza kufanikiwa au kupiga hatua!
Wakati wengine wakiwa bize na maboyfriend zao,wengine wako bize na waume zao kuanzisha makampuni na mashirika yasiyo ya kiserikali kuwasaidia wanyonge na maskini hasa watoto wa kike kielimu..Tafakari!