PICHA:Tofauti Ya hawa mastaa wa kike kwa Jamii yetu

sonaderm

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
618
Reaction score
1,816
Nimejaribu kuwaangalia hawa mastaa kwa dhana ya kioo cha jamii,naona wanatofauti kubwa sana..Wakati wengine wakiwa bize na picha za utupu,starehe na mitoko ya shopping..Wengine wako bize na kuwaelemisha watoto wa kike na kuwapa ujasiri wa kuweza kufanikiwa au kupiga hatua!

Wakati wengine wakiwa bize na maboyfriend zao,wengine wako bize na waume zao kuanzisha makampuni na mashirika yasiyo ya kiserikali kuwasaidia wanyonge na maskini hasa watoto wa kike kielimu..Tafakari!

Hii dhana yawasanii kuwa kioo cha jamii anayeiamini pia inabidi apimwe akili....Yani wewe badala kioo wawe wazazi wako unategemea wasanii ndio wawe vioo kwako....Hawa ni waburudishaji so hata wakiamua kucheza porn sio ishu...Ndio kinachowapa hela
 
Ukosefu wa maadili ni Janga..Ukosefu wa maadili unachangia kuwa na taifa la malofa na mwisho wa siku masikini!Kama unafurahia watu waigize porn basi sina wasiwasi kuwa na wewe ni mmojawao wa hao waliokosa maadili..Kapimwe akili!
 
kunawarembo kadhaa Bongo nao waheshimu sana,Faraja Kota,Nancy Sumari,Jackline Mengi,Hoyce Temu hawakuwa mamiss Tanzania na bongo celebrities bahati mbaya
 
kunawarembo kadhaa Bongo nao waheshimu sana,Faraja Kota,Nancy Sumari,Jackline Mengi,Hoyce Temu hawakuwa mamiss Tanzania na bongo celebrities bahati mbaya
Hawa wadada wanajitambua..
 
Bado sijaona tofauti kati ya Joyce Kiria na Wema Sepetu.

Big up to Hoyce Temu and Nancy Sumari.
 
Ukosefu wa maadili ni Janga..Ukosefu wa maadili unachangia kuwa na taifa la malofa na mwisho wa siku masikini!Kama unafurahia watu waigize porn basi sina wasiwasi kuwa na wewe ni mmojawao wa hao waliokosa maadili..Kapimwe akili!

Mkuu sijui definition yako ya Ulofa ni nini.....Sioni uhusiano wa maadili na ulofa...Maana hakuna nchi zenye maadili mabovu kama magharibi (Reference ikiwa maadili ya kiafrika)....But ndio nchi zinazorun dunia kwa sasa
 
kunawarembo kadhaa Bongo nao waheshimu sana,Faraja Kota,Nancy Sumari,Jackline Mengi,Hoyce Temu hawakuwa mamiss Tanzania na bongo celebrities bahati mbaya
Umemsahau dada etu wa Kimakonde,Tausi Likokola.
Millen Magese nae anatisha.
 
Mkuu sijui definition yako ya Ulofa ni nini.....Sioni uhusiano wa maadili na ulofa...Maana hakuna nchi zenye maadili mabovu kama magharibi (Reference ikiwa maadili ya kiafrika)....But ndio nchi zinazorun dunia kwa sasa
Kuifanisha Tanzania na marekani ndio ulofa wenyewe!
Tanzania ni nchi ambayo inapigana kumnyanyua mtoto wa kike kielimu..Sasa unapoifananisha na marekani ni wazi kuwa hata wewe maisha yako unaiga kila kitu kutoka huko..Hatuna haja ya kuanika matako insta au kua act porn kama unavyowaza badala yake young women need to be empowered hasa na wale wenzao ambao wameanza kuonyesha njia katika nyanja mbalimbali..
Nitupia picha lakini bado hujapata mantiki ya post hii!Bila shaka elimu uliyonayo haikusaidii kifikra dhidi ya uafrika na matatizo tuliyonayo as a poor country..
Unatetea watu ku act porn?Ndivyo ulivyofundishwa na wazazi wako?
 
Mkuu sidhani kama ntakuwa nakutukana nikisema wewe ni Taahira.... Mimi sijakwambia wewe uanike makalio yako insta na wala sijasema popote kuwa kufanya haya ndio maendeleo...Wala hakuna niliposema tuige kila kitu kutoka marekani...Wewe uliyesema maadili mabovu ndo yanayofanya tuwe masikini (Malofa) ndio nimekuonesha mfano wa nchi zenye maadili mabovu lakini wako mbele yetu sana kiuchumi......Maadili na uchumi wa nchi vina uhusiano mdogo mno...Hao wenye maadili mabovu ndio wavumbuzi wa vitu vingi tunavyotumia...Kila mtu ana interest zake...Agnes masogange akikaa uchi inakufanya vipi wewe uendelee kuwa masikini...Kama wewe ni masikini jiangalie wewe, jitafakari na utafute mbinu za kujikomboa sio uanze kusingizia eti Wema hana maadili ndio maana wewe mpaka leo kodi ya nyumba inakushinda....Huo ni utaahira....Elimu ya shuleni sio njia pekee ya kujikwamua na umasikini...Hao watoto wa kike mnaowanyanyua kielimu endeleeni nao lakini kuna wanaotumia sanaa pia kujikwamua...Na kuna wanaoonesha makalio yao kwenye social media pia wanapiga pesa...Its a free country...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…