PICHA toka viota vywa burudani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Haya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu

Attachments

  • IMG_6652.jpg
    31.8 KB · Views: 166
  • IMG_6650.jpg
    40.9 KB · Views: 861
  • IMG_6653.jpg
    31.8 KB · Views: 849
  • IMG_6659.jpg
    68 KB · Views: 903
  • IMG_6688.jpg
    50.1 KB · Views: 794
  • IMG_5862.jpg
    94.2 KB · Views: 7,143
huyo wa mwisho mmh! unapiga mambo huku unaona na maua!
 
Haya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu

Duh mkuu huwa unazitoa wapi hizi mie nimezinguka na hizi mbili, ya kuu hicho kikuku na ya chini hiyo shanga ya cheni
 
huyo wa mwisho mmh! unapiga mambo huku unaona na maua!

Mh mkuu mbona unanitisha!maana ua lake lipo mgongoni wewe utalionaje?Toba jamani mtatandao wa TIGO unaenea kwa kasi!!!
 
Mikorogo mibaya sana duu hasa huyo wa kwanza ukikutana naye usiku lazma ukimbie
 
Haya tena IDD hii wanaenguaje na warembo wetu walitoka kama ifuatavyo katika viota mbali mbali vya burudani na maraha.. ENjoy weeknd ndio hiyooo inabeep kwa karibu

Jamani ataka 'jicho' aswa huyo wa mwiso
 
Heading imenichekesha mno.
Eti 'Viota vya burudani'
 
duh huyo dada wa kwanza kwenye kifunda cha mguu (ankle) mkorogo umedunda
 
>>>zinaa ni mbaya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

>>>kuweni makini ukimwi upo........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

>>> kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu!!!!!!

>>> subiri wakati wako......!!!!

>>> tumia kondomu kupanga uzazi na mpenzi wako au mke wako tu
 
hii we vipi? nani kaongelea zina humu?
 
>>>zinaa ni mbaya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

>>>kuweni makini ukimwi upo........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

>>> kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu!!!!!!

>>> subiri wakati wako......!!!!

>>> tumia kondomu kupanga uzazi na mpenzi wako au mke wako tu
Umeeleweka mkuu.
 
Ipo aja ya kumtumia barua pepe mtendaji wa chama chetu kwani huwa anawazimia sana hususani wanaovaa cheni kiunoni!
 
duh huyo dada wa kwanza kwenye kifunda cha mguu (ankle) mkorogo umedunda

yaani hatamaniki/hana mvuto kabisa, make up ovyo, uso an miguu dunia mbili tofauti...yaani fashion ya kujichubua imepitwa na wakati sana cjui y baadhi ya wadada hawazinduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…