Hawa kuku wa kienyeji inaonekana ni ma-stage show fulani, ukiangalia baadhi ya mavazi yao ni jezi za kazi! Tazama hao waliokumbatiana, hasa mwenye jezi ya rangi ya Chama Cha Mafisadi na ile picha ya mwishi ni mtu mmoja na yuko kusaka mahela! Hayo ndo Maisha bora kwa kila mbongo!