Gari mmeiona wenyewe hii Ni mpya used in japan ndo kwanza imfika nchini tax charges zote Ni inclusive kwenye hiyo bei. Na pia Ni model mpya. Kaulizieni raum kama hiyo bei yake halafu ndo mje na argument za bei.
Angalia odometer yake?
Angalia colour?
Angalia specification zake?
Vyote hivyo Ni reasonable kwa hiyo bei.