Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hakuna uhusiano wowote kati ya uhuru wa Kenya na jina la uhuru Kenyata mkuu.Rais Uhuru amepewa hilo jina kwasabb alizaliwa siku ya uhuru wa Kenya.
Kwahiyo ili kujua umri wake tafuta Kenya ilipata uhuru mwaka gani.
Birthday ya mtu mmoja ni birthday ya taifaRais Uhuru amepewa hilo jina kwasabb alizaliwa siku ya uhuru wa Kenya.
Kwahiyo ili kujua umri wake tafuta Kenya ilipata uhuru mwaka gani.
Birthday ya mtu mmoja yupi mkuu mbona kama mnachanganya jina la mtu na uhuru wa nchi?Birthday ya mtu mmoja ni birthday ya taifa
👆Mbona hakuna uhusiano wowote kati ya uhuru wa Kenya na jina la uhuru Kenyata mkuu.
Uhuru Kenyata kazaliwa tar 26/10/ 1961 na Kenya ilipewa uhuru wake tar 12/12/ 1963!
mwingine huyu ajaye Rais wetuNingependa pia kujua mzee Kenyata anamshinda Kikwete miaka mingapi?
Nahisi ni kutokana na kuendekeza sana maji ya mende 😂😂Aisee mbona Uhuru kaanza kuchoka mapema kabla hata mwaka mmoja haujatimia akiwa nje ya madaraka!
Historia inaonesha Kikwete anamzidi Uhuru miaka 11, lakini hapo Uhuru ndio anaonekana kumzidi Kikwete zaidi ya miaka 31 🤣🤣🤣