Wema jaman anamtesa mama yakeView attachment 467777
Hivi lema alipigaga kaselfie?😀😀😀😀 imeshakua fasheni saivi ukiitwa police na kaselfi ka ukumbusho muhimu maana......
Kwani mama yake nae anatumia ngada?
video ipi ? Na inahusu nnmaandalizi ya kulala selo. Kule kama msibani gauni refu ya kupwaya na taiti tena ndefu.Hivi kwa hali hii ile video yetu iliyoka wiki hii itakumbukwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamezoea kula haka si katakonda siku moja
Watakaletea hayo mamisosi huko huko selo kashushie na harufu ya mkojo wa seloKamesha zoea kupost mavyakula ya mahotelini leo kanaenda kugonga bondo kwa maharage.
Ohoooo!!!!Watakaletea hayo mamisosi huko huko selo kashushie na harufu ya mkojo wa selo
hufunza na RCAsiyefunzwa na *****,...
HA HAHAHAMawazo yangu yote nilikuwa nafikiria huyu demu hana nguo
"Afande hiri naro turirisahau katika rist yetu "hapo mazee mahaba yanakuwa yamekutokea puaniHiki ndo kipindi cha kuonyesha unajua ku-care, hapo unatakiwa kumpa kampani bebi huku ukimliwaza sasa sijui akina Hance Mtanashati wamekimbia wapi mpaka mtoto anaripoti peke yake!