Mkuu comment zako zinanifuraishaga sana ha ha ha ha haOhooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari za wapi? Mji Mwema? Ngarasero? Leganga? Au wapi?Hivi kujaza mimaji ya kila dizaini tumbon ndo kula bata?
Sio mil 100, ni mil 200 ila alipewa kwenye ndoto.Si walisema Tunda kapewa nyumba ya mil100
Tunda nasikia anauza Tigo kwa milioni so pesa yako tu na anataka umpeleke hotel ya maana sio vichochoroni