Picha: Uchawi upo aisee

Yupo bibi mmoja Mwanza aliitwa bibi fisi aliishi karibu na Hospital ya Bugando , barabara ya lami ilipofika kwenye nyumba yake ilibidi ipige kona uikwepa nyumba yake maana walishindwa kumtoa baada ya kugoma.Sina hakika kama yule bibi bado yuko hai na kama ile barabara ilikuja kunyoooshwa tena
 
Alishakufa tena huyo alihamisha bugando hospital kipndi cha vita ya kagera
 
Umenikumbusha mbali mkuu hiyo ndio mitaa niliokulia na kucheza mpira Sana .

Yule bibi watu walimfanyia ambush wakamkatakata na mapanga na ikawa mwisho wa story yake Kwan yalikua maelekezo maalum baada ya kushindikana...

Watu walishindwa kubomoa kijumba chake Cha udongo kilicho barabaran wakitaka kubomoa wakakuta ni ziwa kubwa..

Baada ya kumuua barabara ikapita vzur sana na Leo hii lile eneo Kuna barabara na nyumba nzur Sana zimejengwa...
 
Kwahiyo uchawi wake ulikuwa na nguvu ya kuilinda nyumba yake tu na si nafsi yake!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…