Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye licha tu unajua mm zilizotumika?Mbona wanatumia nondo 12mm badala ya 20mm[emoji23][emoji23]
Hapana bwaasheeKwenye licha tu unajua mm zilizotumika?
Maza amekimbilia kwenye. Ujenxi wa madarasaHuu mradi unasuasua sana
labda ka zoomKwenye licha tu unajua mm zilizotumika?
Mpaka Leo sipandi mabasi ya Simba mtoto maana yamechoka pale wami mi hatari Sana lilifeli brake Mungu akasaidia hatukutumbukia mtoni .Boreaa maana like la mkoloni lililuwa linatishaaa.
Hii nchi ilihitaji mjenzi aijenge.Mwamba aliacha kazi ikiwa na speed kubwa, naona mama ame diverge, anafanya vipaumbele vyake....hii nchi bwana!
BTW, daraja la mto wami ni muhimu kujengwa, lililopo linahatarisha maisha ya watu sio poa.
Muingereza alipewa huyu demu Tanganyika amlee tu hadi atakapopata Bwana, mwaka 1961 Tanganyika ikaolewa na TANU.Kuuuumbe bado kalikuwa ni kadaraja ka mkoloni? jamani wajermani heshima kwao! UK hakufanya kitu