Picha: Ujenzi wa Daraja la Mto Wami

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Kwa wasiojua Daraja hili lipo kwenye highway ya kutoka Dar es salaam kwenda Moshi / Arusha / Namanga na Tanga.

Urefu wake mita 500+

Ujenzi utakamilika 2022.

Daraja la zamani lilijengwa na mkoloni 1959.

Mbona wanatumia nondo 12mm badala ya 20mm[emoji23][emoji23]
 
Kuuuumbe bado kalikuwa ni kadaraja ka mkoloni? jamani wajermani heshima kwao! UK hakufanya kitu
 
Mwamba aliacha kazi ikiwa na speed kubwa, naona mama ame diverge, anafanya vipaumbele vyake....hii nchi bwana!

BTW, daraja la mto wami ni muhimu kujengwa, lililopo linahatarisha maisha ya watu sio poa.
 
Hii nchi ilihitaji mjenzi aijenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…