PICHA: Ukarabati wa Uwanja wa Uhuru a.k.a SHAMBA LA BIBI

PICHA: Ukarabati wa Uwanja wa Uhuru a.k.a SHAMBA LA BIBI

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801




Uwanja wa taifa wa zamani ambao kwa sasa unajulikana kama uwanja wa Uhuru au shamba la bibi, umefungwa kwa muda mrefu ili kupisha ukarabati wa uwanja huo, kwa muda mrefu uwanja wa Uhuru tumekuwa tukiona ukitumika kwa shughuli za kitaifa kama siku ya Uhuru na nyinginezo, bado mafundi wanaendelea na ukarabati.






Huenda ukawa hujabahatika kupata nafasi ya kuona maendeleo ya uwanja huo kwa hizi siku za karibuni toka ufungwe, ripota wa millardayo.com nilipata nafasi ya kukupigia picha 29 za ukarabati ulipofikia. Kwa asilimia kubwa sehemu iliyofanyiwa matengenezo ni majukwaa ya mzunguuko ambayo awali yalikuwa na vyuma, na juu hayakuwa na paa.




Hii ni sehemu ya VIP ambayo ipo kama ilivyokuwa awali




Muonekano wa majukwaa ambayo kabla ya ukarabati yalikuwa na bomba za chuma kama jukwaa ila sasa wameboresha.





Muonekano wake ukiwa katika ngazi za uwanja wa Taifa










Hivi ni vyoo vya zamani lakini bado havijafanyiwa ukarabati ujenzi bado unaendelea





Sehemu ya nyuma ya kuingilia katika jukwaa la VIP




Muonekano wa majukwaa kwa nje nyuma





Sehemu ya kuchezea ambayo bado ina nyasi bandia za awali




Wasaidizi wa wachina katika ujenzi wa uwanja huo ambao bado wanaendelea na kufyatua tofali.




Sehemu ya VIP pamoja na njia ya kuingilia magari na kutokea Uwanjani.



Sehemu ambayo mafundi wanahifadhia vifaa vyao vya ujenzi




Fundi akisomba kokoto za kuchanganyia zege gari





Hii ni njia ya kupitia magari








Sehemu inayoonekana kama mashimo ni ngazi za kutokea na kuingilia sehemu yalipo majukwaa.





Ngazi za kuingilia katika majukwaa kwa nje



Namna ya ngazi zilivyo lazima uzunguuke mara moja kabla ya kufika Jukwaani



Njia ya kutokea gari

 
..safi; hivi huu ukarabati unafadhiliwa na nani? na viwanja vya mikoani navyo viangaliwe tafadhali sio vimebaki hivyo hivyo toka tupate uhuru, sheikh amri abeid stadium,jamhuri stadium, na vingine TFF do something plz...
 
Back
Top Bottom