Picha: Ukarimu wa Makamu wa Rais

Raisi ajaye wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .... Alafu mbna Mzee pinda kama anarembua hvi
 
Huyo ni makamo wa raisi ovakado.
 
MATAGA wameanza propaganda na porojo!Baada ya muda mfupi utaanza kusikia mitano tena kwa makamu,makamu ameshushwa mbinguni na Mungu,Makamu ni Mungu na kadhalika.Wito wangu ni kwamba MATAGA msisahau kuwa Rais wetu ni Mama Suluhu.
 
Mikatuni huna point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…