Picha: Umegundua nini kwenye hii picha?

Picha: Umegundua nini kwenye hii picha?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
20240606_112714.jpg
 
Nilichogundua ni kuwa Hawa viongozi Huwa hawaielewi mikataba inataka Nini ndiyo maana kunawapuuzi wengine huuza Hadi Nchi zao.mfano yule aliyeuza bandari yake na hekta milioni 8 za mistu Kwa kupewa mkopo.
 
Ha ha ha! Jameni comments zinanivunja mbavu....
 
saini hapa, na hapa, na hapa. kisha hapa pia usisahau. huyu mwingine anasema 'huku acha nikusainie. aliyesimama kule nyuma analalamika
"jamani huko kusign mwaka mzima?utadhani ni mkataba wa kuuziana dunia.msaini haraka watu tunataka kuwahi foleni"
 
Nilichogundua sisi watu weusi tuna pua za kipekee sana, pia zina matundu mapana ya kupitishia kamasi.
 
rais atakayefuata baada wa huyu tutegemee kuanza kulalamika, wakati na yeye pia alikuwa ni sehemu ya bunge
 
Back
Top Bottom