Nilichogundua ni kuwa Hawa viongozi Huwa hawaielewi mikataba inataka Nini ndiyo maana kunawapuuzi wengine huuza Hadi Nchi zao.mfano yule aliyeuza bandari yake na hekta milioni 8 za mistu Kwa kupewa mkopo.
saini hapa, na hapa, na hapa. kisha hapa pia usisahau. huyu mwingine anasema 'huku acha nikusainie. aliyesimama kule nyuma analalamika
"jamani huko kusign mwaka mzima?utadhani ni mkataba wa kuuziana dunia.msaini haraka watu tunataka kuwahi foleni"