Picha: Unahisi ni yupi anayechelewesha mechi ianze?

Yanii atapiga ukunga huooo utadhani binti kigoriiii aneanza tomaswatomaswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ukiligusa linacheka cheka hovyo
 
Hawa jamaa dizaini hii ndo wanaofanya maendeleo ya nchi yachelewe, unaleta undezi hadi kwenye kei? Dadek ngolo kante makombati
 
Sasa apo unakuta ni mke wa kaka, inabidi uwaze kwanza ni mtego wa kufukuzwa kwa kula kulala bure au ndo ivo kaka kaokota malaya wa kimboka kaweka ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee
 
Jamaa udomo zege unamponza ameshindwa kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…