Picha: Unataka kuwa Mweupe kwa kujipiga kitaulo?

Picha: Unataka kuwa Mweupe kwa kujipiga kitaulo?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.

20240508_155418.jpg
 
Huyo mwanaume katuaibisha kabisa sisi wanaume wa shoka.ningekuwa ni amjua ningempiga makofi kabisa.utajichubuaje mwanaume?
 
Cha kushangaza humu jf kila mdada hajichubui na atakushangaa sna 😁😁😁 hawa wa huku wanajing'arisha tu🤪🤪
 
Back
Top Bottom