Picha usaili kada ya elimu zinafikirisha sana

Picha usaili kada ya elimu zinafikirisha sana

Mtulivu34

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
16
Reaction score
62
picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma .

Any way tusubiri ripoti ya waziri.

Soma Pia: Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili
FB_IMG_1736971216006.jpg
Screenshot_20250115-225928.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250115-WA0012.jpg
    IMG-20250115-WA0012.jpg
    233.7 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1736970498615.jpg
    FB_IMG_1736970498615.jpg
    44.4 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1736970480666.jpg
    FB_IMG_1736970480666.jpg
    50.6 KB · Views: 5
Hapana, mkuu. Maarifa yanatakiwa kubaki akilini, na siyo kwenye vitabu tu. Usaili ni lazima kabisa 100%.

Hivi ingekuwa wewe ungemwajiri mtu bila kupima uelewa wake wa kile anachodai amesomea?
Na changamoto ya usaili kuna kujuana ,alafu pia Mambo yanaweza kukunyookea MDA WA interview hata kama ww ni mvivu na slow learner maana tunapima ufaulu(written) na confidence (practical)
 
Hivi inawezekana kuitwa oral kama haukufanya written?
 
Back
Top Bottom