Picha: Utani wa ngumi kwa Messi

Picha: Utani wa ngumi kwa Messi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau.

Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.

Screenshot_20240116-150424_1.jpg
 
Hawa ndo zao wanapost utani tu, sasa inakua kama unachukulia habari serious
 
Mesi ni mzuri ndio ila sio katika viwango hivi anavyowekwa.
 
Michezo ni Ajira, As long as tuzo ni malipo basi na apewe anaetengeneza faida kubwa biasharani.
 
Back
Top Bottom