Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Wema wema jaman vibaya hivyo. Umeona zari anafaidi sana eeh ukaamua aminisha watu dai anadhulumiwa. WATOTO NI MALAIKA. DAI ASINGEKUA NA HELA SIDHAN KAMA HILI POVU LINALOWATOKA HUMU
Tiffa malaika asie na kosa mmemtukana weee mpaka maneno yamewaisha now mmehamia kwa nillan jama


MNGELITOA!???
 
Kuna movie niliangalia Tajiri katongoza mke wa tajiri mwenzie, mke akamwambia mmewe, mme akamwambia mkewe mkubalie tupige pesa, Tajiri mtongozaji alipigwa tukio hajaamini kwa usirikiano wa mke na Mme. Hii muvi inasumbia akili yangu kuhusu hii couple
 
Kuna movie niliangalia Tajiri katongoza mke wa tajiri mwenzie, mke akamwambia mkewe mkubalie tupige pesa, Tajiri mtongozaji alipigwa tukio hajaamini kwa usirikiano wa mke na Mme. Hii muvi inasumbia akili yangu kuhusu hii couple
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mm mwenyewe bado cjalielewa hili movie ndo mana Ivan hana hata pressure,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…