Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tunawahakikishia watu kwamba tz kuna amani! Kuweka bicon tu hadi askari wenye silaha, kunani?
Halafu tunawahakikishia watu kwamba tz kuna amani! Kuweka bicon tu hadi askari wenye silaha, kunani?
Hii ni ushahidi kuwa, hakuna consesus kati ya wananchi na serikali...
Hii ni ushahidi kuwa, hakuna consesus kati ya wananchi na serikali...
Kupeleka askari ili kusimamia uwekaji wa alama bila ridhaa ya wananchi wenyeji wamiliki wa ardhi hiyo, ni dalili ya vita kubwa..
Nani atazilinda hizo beacons? Ina maana kila siku watakuwapo askari kulinda kila beacon?
Serikali ijitafakari. Nguvu ya umma ikiamua, hakuna awezaye kusimama mbele yake hata uwe na bunduki zote duniani...!
Na bunduki haiangalii mishaleMishale haiangalii mibunduki
Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Matumizi ya umma ama ya mwekezaji…ulishawahi kufuatilia hizo hoteli za kitalii zinaipatia serikali kiasi gani na kiasi gani kinaenda kwao…
Hii ndo serikali isio tesa watu wake full amani mama anaupiga mwingi hadi waarabu wanabakia kushangilia
Chawa mwingine huyuNgorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Kama hilo ni zoezi halali mbona haonekani mwenyeji?Hizo bunduki nazo zinachimbia mashimo ya beacons?