Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

Yes, nimesoma, not kuona.....asije kuwa wa mchongo...why all that trouble ya mchongo? Ili kufanikisha nini wakati ameshashinda?
Hukamwelewa kushinda kwingine na mchongo kwingine alimaanisha wanaweza wabayawake kumwekea kitukibaya pale ndani sioo mawakili wote wanefyrahi kushinda mh bdiomaana ajitunzee
 
Boy mbona kichwa chako kigumu sana kung'amua mambo madogo haya
lugha za kwenu vijiweni sizijui maana sikai huko na sina ukaribu nanyi wa vijiweni, lastly uwe na adabu. Mimi ni baba yako , nina uhakika naweza kukuzaa mara10!
 
lugha za kwenu vijiweni sizijui maana sikai huko na sina ukaribu nanyi wa vijiweni, lastly uwe na adabu. Mimi ni baba yako , nina uhakika naweza kukuzaa mara10!
Siwezi kuwa na baba mwenye Ubongo mzito kama wewe hata mtoto wangu wa darasa la 5 anakuzidi kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…