Picha: Walambisha asali na walamba asali wakimzuga Kamala Harris kuwa Tanzania kuna Demokrasia ili atoe msaada wa tri 1.3

Picha: Walambisha asali na walamba asali wakimzuga Kamala Harris kuwa Tanzania kuna Demokrasia ili atoe msaada wa tri 1.3

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
20230331_123306.jpg
 
Michumia tumbo katika ubora wao.

Hapo kuna muuza meno ya tembo, muuza vitenge bila kulipa kodi, mmiliki wa ardhi yote Tanzania na DJ wa sound, maneno mengi kuliko vitendo.

Kwa kupenda pesa hao hata wakiambiwa wavae sketi na kupaka make up kama kina Dullivani kuonyesha kuna haki Tz watafanya. Kikubwa kuwe na mtonyo tu.
 
Makamo M/K Uso wake unajieleza ,hataki kua sehem ya Habari ila Kwa chininchini ni mtu Hatari .

ChagaGang, Uso wake unaonyesha , nipe deal nikupe deal, kikubwa Kila mtu ashinde mechi zake.


JK.. Uso wake umejaa tabasamu ,mashavu kayavuta , ila Akili yake Iko mbali sanaaa ( sio mtu wa kuamini).

Hapo aliyecheka na kufurahi bila neno la Hila ni KASSIM M.
 
Back
Top Bottom