PostGE2025 Picha: Wananchi waanza kupost mabango ya Desemba 9, joto la maandamano ya D9 lazidi kupanda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wananchi kwa pamoja wakiongozwa na vijana wa Gen Z wanazidi kuchapisha mitandaoni mabango ya D9. Shindano hilo linazidi kukua na kuongeza chachu ya kufanyaka kwa maandamano ya pili siku hiyo.

Haya ni baadhi ya mabango yaliyochapishwa na vijana mitandaoni yakiwa na madai tofauti ikiwemo KATIBA MPYA, SERIKALI YA MPITO, UCHAGUZI KURUDIWA.






​
 
Hatujawazoea hivi, tunataka kama 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…