Picha: wanaume wa Palestina wakisonga ugali.

Sasa hawa wakibongo ambao hata kama chakula kipo eti hawezi pakua mwenyewe yupo radhi alale njaa hivi huwa na utimamu kweli ?
 
Duh! Jamaa hata msosi hujaiva wana bakuli tayari, halafu wameweka uzio kwa sababu watu wanaweza kuondoka na hizo sufuria wamebeba. Njaa mbaya sana.

Aisee njaa isikie tu,

Lakini si ugali, hawatumii ugali hao.
 
hivi huu ni ugali kweli huu tunaoujua au ni madabudabu yao tu? Ugali ni huo hapo kwenye avator yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…