Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.

Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,

Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,

1. Kama ni mja mzito ;

Atakua anaangalia vinguo vya watoto wa kiume na kike.

2. Kama anakaribia kuolewa au ana tamani kuolewa;

Atakua anatazama picha za magauni ya Harusi au picha za harusi za ndugu zake au marafiki.

3. Kama kashaolewa ;

Atakua anaangalia picha za mapazia na vitu vingine vya ndani kama maforonya etc.

4. Kama hajaolewa ila financially yuko stable au ana sponsor ;

Atakuwa anaangalia picha za mabegi mapya, style mpya za misuko, rangi za kucha, kope, viatu vipya, magauni , perfume, lipstick n.k.

Hao ndio wanawake na picha wanazopenda kuangalia kwenye simu zao.
 
Wakati mwingine tunatafuta majina mazuri ya watoto tukikaribia kujifungua
Tunaangalia namna ya kupika chakula cha aina flani
Wakati mwingine tunatafuta mitindo mipya ya nywele
Sometimes tunaperuzi kwa nini mtoto anasumbua kula
Wakati mwingine kwa ni i mtoto analia sana usiku
Sometimes tunasearch jinsi ya kutunza ngozi


Kwa kifupi huwa tuna vitu vingi sana hata nikivitaja hapa ntawachosha tu🤣🤣
 
Ni kweli mkuu:

Mna mambo mengi sana hata pochi zenu ni shahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…