Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

Hahaha waache Wajifurahishe Bana Wanajua ndio wakati wao huu Wa kujitoa ufahamu Halafu watarudi kununa kulalamika kama kawaida ya malalamiko fc
Hii yote ni kwanini?
Vipaumbele vya watawala sio Vipaumbele vya wananchi.
Ndio maana sasa maccm wakiongozwa na Meko wanafoka jukwaani. Wananchi wanataka maji unanunua ndege, wao wanataka hospitali unajenga flaiova, wao wanataka shule unajenga SGR fupi.

Vipaumbele vya watawala sio Vipaumbele vya wananchi.
Maccm badilikeni
 
Anachosahau pia kipindi hicho media zilikuwa huru, wananchi walikuwa huru, vyama vilikuwa huru, hivyo hata mikutano ilikuwa ikitangazwa kwenye vyombo vya habari.

Leo hii watu wanaitana kwenye mikutano kwa WhatsApp tu
 
Baada ya Oktoba 28 ;

Tutashuhudia wimbi la ID mpya.

Zipo zitakazotelekezwa kwa aibu.
Sisi tulio 'genuine', kushinda kwa Magufuli au Lissu ni mwanzo wa kazi mpya ya kumkosoa inapobidi au kumpongeza anapostahili huyo tutaempa dhamana ya mitano ijayo!
 
Hahaha waache Wajifurahishe Bana Wanajua ndio wakati wao huu Wa kujitoa ufahamu Halafu watarudi kununa kulalamika kama kawaida ya malalamiko fc
Mnajifanya vipofu sio?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…