USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Hii sio photo shop product ni picha halisi ya maonesho halisi ya kukuza vipaji vya watoto,hii ni moja ya vipaji vya maafisa wa usalama wa ,NSA,FBI CIA na n.k kuunda kikosi cha ulinzi wa viongozi hapo USA.
Madogo walionesha mengi na hapa walionesha jinsi rais Joe Biden anavyo weza kulindwa kama mkuu wa nchi
Tanzania hivi havitakiwi,eti tunajua walinzi lazima wawe mabaunsa bila akili .
USSR
View attachment 2602620View attachment 2602623