Hivi hawa makahaba wamelipia haya matangazo yao? Maana wiki ya tatu sasa thread nyingi zinawekwa hapa na mletaji ni yuleyule El Toro.
Anafanya kazi ya kubadili heading ya thread tu.
namuhurumia DIAMOND.....jana nimemuona akiperform hapa MOSHI.....tatzo la kulewa sifa bila ELIMUUU...... yaan hana hata mshauri w maisha yake????? loooioooii
namuhurumia DIAMOND.....jana nimemuona akiperform hapa MOSHI.....tatzo la kulewa sifa bila ELIMUUU...... yaan hana hata mshauri w maisha yake????? loooioooii
Kwa upeo wangu mimi Wema hana tatizo maana yuko ki maslahi yake zaidi, tatizo liko kwa huyu dogo naona ndiyo anayaanza mambo haya. anahitaji ushauri nasaha, wapenzi na nduguzake watampoteza.
ah! waacheni!!!
Diamond anamfahamu Wema na wema anamfahamu Diamondi vizuriiiiiiiiiiiiiii
Sasa sioni haja ya kusemaaaaaaaaaa oooh Diamondi kapotea.... oooh kabemendwa....
Waacheni jamani kama wanapendena wao ni maisha yao wameyachagua wao!!