Picha: Wema Sepetu New looks

Ivi wanazengo nyie hua mnaangalia nini ili kusema mwanamke ni mzuri?
 
mbona kama ana mimba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo, enzi za Mwalimu wakina dada walivaa hereni masikioni, lakini siku hizi wanavaa kuanzia kitovuni kwenda chini. Na hata mabusu sio shavuni kama zamani, ukimwona mtu ana toothpick usifikiri ametoka kula nyama, la hasha, anatoa vipande vya vyele baada ya kutoka kumpiga mabusu mpenzi wake
 
Mwili umekaa fresh ila sura inamsaliti ...sura inakataa kabisa kuendana na mwili ..muda wake umeshaisha hakuna namna ya kujirudisha kuwa babyface kama zamani...

Funzo kwa wadada tamba ukiwa kwenye beamlight yako ..muda ukipita ndo basi tena Hata ukitumia vipodozi vinavyotokana na mafuta ya upako sura hairudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well naona bora hivi hajawa mbaya mwili umekaa vizuri maana alikuwa anaelekea kuwa mmama wa miaka 50.Shida sio sura wala nini tatizo alitumia vipodozi vikali sana enzi hizo alikuwa kama mwarabu wa dubai zile products sjui sindano I don't know vilikuwa vikali sana inapelekea uso kuchoka mapema. Mbona akina Sumari, Jacky wamejimaintain na wanavutia sana? By the way hawa upcoming celebrities wazingatie maintance maana unaona mtu anafutuka tu shepu huna sura unayo sawa lkn kumbuka sura huzeeka mwenye akili huconsider both factors. Kunenepa waachie akina poshy na Sanchoka huko umepewa sura nzuri tu jaribu kujimaintain
 
Your browser is not able to display this video.
 
Msimpe matumain aisee. Ukweli mnaujua kuwa HUNA TAKO HUNA KITU! Sijawai kuona dada sindano ya kushona anapita popote wapiga kura wakageuka. Lkn subir ipite lenz mbinuko! Kwa sasa itabd Wema alazimike kupost picha amepanda pikpik ili walau hips ziwepo.
 
Ila wema alifanya bypass surgery? Alafu baada ya kupungua akafanya skin reduction surgery? Vipi kuhusu stretch marks alizokua nazo. Ule unene aliokua nao itakua amefanya boob job pia tatizo hawezi kua muwazi. Kuna wengi wanataka kufanya surgery lakini hawajui pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…