Picha: Wolper, Kajala na Irene Uwoya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kama ulikuwa hujui basi naku habarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel, hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, marehemu kanumba. Bifu hilo lilifikia pabaya ambapo mastaa hao walirushiana maneno makali kwenye mitandao kila mmoja akimshtumu mwenzie kumuibia bwana ake, bifu hilo lilidumu kwa mda mrefu, lakini sasa ivi mastaa hao wameshibana na kuishi kama ndugu, ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.

Unakumbuka kipindi kile kwenye Interview ya zamaradi mketema alipowahoji irene uwoya na wema sepetu kuhusu bifu lao na jackline wolper? Bifu lilikuwa zito, ambapo chanzo kinadaiwa kuwa ni mwanaume, warembo hao walinuniana na kutupiana maneno machafu mitandaoni. Ivi sasa mastaa hao wanaishi kwa amani na maisha yanaendelea.
 

Attachments

  • 1427103250872.jpg
    56.9 KB · Views: 3,340
Mbona hapo simuoni irene uwoya huyo wa pembeni sio batuli
 
Acha kukalili ww walikuwa wananigombea mimi hapa
 
Ila Kajala analiwa tigo balaa.
ana bwana ake mpemba, yaani anamkanyagaje?
 
Wema na Aunt walikua wanamgombea Heartman Mbilinyi....walirushiana shombo redioni haaa kweli naungana na mdau hapo juu ukitaka bongomovie wagombane mpitishe Manji mbele yao
 

Jalala la kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…