Picha: Wolper stylish amvalisha Wema Sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika hali isiyotegemewa na wengi especially kwa mastaa mafahari wawili, namzungumzia wema sepetu pamoja na jackline wolper ambapo wawili hao walikua hawaivi chungu kimoja , Ila sasa hivi unaambiwa ubest wao umerudi kwa kasi ya 4G ambapo imefikia stage ya wasanii hao kusapotiana kwenye kazi zao

Wolper ambaye anamiliki kampuni ya Home of stylish, kampuni inayojihusisha na uanamitindo na ushonaji wa mavazi mbali mbali, hivi sasa amepiga hatua kwa kufanikiwa kumvalisha msanii nyota wema sepetu , ambapo inaonekana wema kuvaa nguo za wolper itakua kiki wa kampuni ya wolper na kusababisha watu kibao kujazana kwa mrembo huyo

Kwa mujibu wa warumi , nahisi pia hii ni moja ya project ya kuua soko la hamisa mobeto ambaye hivi karibuni na yeye amefungua duka lake la nguo ambapo pia anashona na kuuza nguo za kike, huenda mastaa hao wameamua kujiunga kuua soko la hamisa( hayo mawazo ya warumi) , nini maoni yako?
IMG_3407.JPG
 
Katika hali isiyotegemewa na wengi especially kwa mastaa mafahari wawili, namzungumzia wema sepetu pamoja na jackline wolper ambapo wawili hao walikua hawaivi chungu kimoja , Ila sasa hivi unaambiwa ubest wao umerudi kwa kasi ya 4G ambapo imefikia stage ya wasanii hao kusapotiana kwenye kazi zao

Wolper ambaye anamiliki kampuni ya Home of stylish, kampuni inayojihusisha na uanamitindo na ushonaji wa mavazi mbali mbali, hivi sasa amepiga hatua kwa kufanikiwa kumvalisha msanii nyota wema sepetu , ambapo inaonekana wema kuvaa nguo za wolper itakua kiki wa kampuni ya wolper na kusababisha watu kibao kujazana kwa mrembo huyo

Kwa mujibu wa warumi , nahisi pia hii ni moja ya project ya kuua soko la hamisa mobeto ambaye hivi karibuni na yeye amefungua duka lake la nguo ambapo pia anashona na kuuza nguo za kike, huenda mastaa hao wameamua kujiunga kuua soko la hamisa( hayo mawazo ya warumi) , nini maoni yako?View attachment 774406
Warumi umeolewa?
 
Wala hajapendeza. Angevaa bikini zake tuu.
 
Sasa mbona huyu wolper kaanza muda kushona izo nguo... uyo hamisa wako ndo amekopi io idea lkn atafeli labda apewe back up na uyo mond
 
Katika hali isiyotegemewa na wengi especially kwa mastaa mafahari wawili, namzungumzia wema sepetu pamoja na jackline wolper ambapo wawili hao walikua hawaivi chungu kimoja , Ila sasa hivi unaambiwa ubest wao umerudi kwa kasi ya 4G ambapo imefikia stage ya wasanii hao kusapotiana kwenye kazi zao

Wolper ambaye anamiliki kampuni ya Home of stylish, kampuni inayojihusisha na uanamitindo na ushonaji wa mavazi mbali mbali, hivi sasa amepiga hatua kwa kufanikiwa kumvalisha msanii nyota wema sepetu , ambapo inaonekana wema kuvaa nguo za wolper itakua kiki wa kampuni ya wolper na kusababisha watu kibao kujazana kwa mrembo huyo

Kwa mujibu wa warumi , nahisi pia hii ni moja ya project ya kuua soko la hamisa mobeto ambaye hivi karibuni na yeye amefungua duka lake la nguo ambapo pia anashona na kuuza nguo za kike, huenda mastaa hao wameamua kujiunga kuua soko la hamisa( hayo mawazo ya warumi) , nini maoni yako?View attachment 774406

Moyo sukuma damu si vingine!
 
Hata yeye hazimpendez kiasi hicho ila nzuri yani
Zinampemdeza nani?hizo nguo uvae labda una mwili mwili una tak.o hivii ,,Yaan manguo mapana tu na vile vilemba,,leo kajipodoa kawa kama jini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom