Gilman Rutihinda
Gavana Benk Kuu Tanzania (1989 - 1993). Alipata ajali ya gari asubuhi akitokea kwake, akafa, ikatangazwa ilikuwa ajali ya kawaida. Miezi kadhaa nyuma, yeye na Waziri wake wa Fedha Steven Kibona walimgomea Rais Mwinyi kuchapisha fedha kuziingiza kwenye mzunguko.
Waziri wake wa Fedha, Steven Kibona yeye alisafiri kwenda India, aliporudi akaanza kuumwa na tumbo la kuhara, naye akafariki. Taarifa zikasema alikuwa na ugeni wa vyakula vya kihindi hivyo vilimpa mchafuko wa tumbo hatimaye kupelekea kifo chake.