Picha ya Catherine Magige na Januari Makamba ina uhusiano na kauli za Magige?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine

 
Picha ni kawaida sana siku hizi, kama ni hivyo tutaunganusha picha nyingi sana za watu nje ya uhalisia.
 
mmh mbona kama mkakati unasukwa hapa dhidi ya Mpina?
 

Mkuu Mbona kama huna akili? Hii picha unayosema imevuja mbona kama ipo Instagram? Kana kwamba ni siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…