Picha ya Etoo na Ligobert Song inaongea

Wanaongoza moja mpaka half time tusubiri dk 90 zikamilike

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mtabiri tupe matokeo sasa
 
Wachambuzi maandazi kama kawaida yenu
Bora muwe mnasubiri matokeo tu
 
Wabongo ndio maana litimu letu linadraw na Sudan sababu hii ya ujuaji.

Leteni matokeo sasa.
Wabongo tumejawa na ujinga sana, watu na akili zao fupi wanawaza hapa tu.

Sijui kama wanafahamu World Cup ijayo Africa itapeleka nchi 9 na ukiongeza nafasi moja ya play-offs tukawa na timu 10, ila usishangae bongo kutokuwa mmoja wapo!
 
Nyie ndo mnaozimiaga uwanjani.
 
Wabongo tumejawa na ujinga sana, watu na akili zao fupi wanawaza hapa tu.

Sijui kama wanafahamu World Cup ijayo Africa itapeleka nchi 9 na ukiongeza nafasi moja ya play-offs tukawa na timu 10, ila usishangae bongo kutokuwa mmoja wapo!
Hizi taarifa ni nzuri kwa afrika ila ziwe za ukweli
 
Hizi taarifa ni nzuri kwa afrika ila ziwe za ukweli
Fatilia World Cup 2026, itachezwa USA, Canada na Mexico. Jumla ya timu kwenye hatua ya makundi zimeongezwa kutoka 32 hadi 48.

Makubaliano haya yalifanywa na baraza la FIFA mwaka 2017 (wajumbe wa baraza hilo ni viongozi wa mashirikisho ya Mpira wa Miguu kila bara, CAF ikiwa moja wapo)

Taarifa ziko wazi, sijui TFF wanafanya kazi gani huku wapenzi wa soka nchini hawana taarifa yoyote!
 
Hivi WC bado hazijafika timu 36?
 
Kapindua meza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…