Picha ya Etoo na Ligobert Song inaongea

Bado una mawazo yako ya KiNdezindezi....!!??
 
Bado mnamaswali!!??
 
Amekula ngapi mkuu.... Mnawazaga Kwa mihemko...
 
Kwa hiyo Bwana mchambuzi..


Wee ulivyoona hiyo picha, ukaona Etoo kamkasirikia Kocha???.


Kwahiyo hata macho yako, yanakuonyesha kabisa kua Hapo Etoo amemtizama Kocha Kwa hasira ??
 
Moira sio siasa nadhani huko uliko utakuwa unaumia Moyo kwa ulichoandika

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…