Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
JamiiForums najua kuna wasomi na wote ni waelewa. Sasa nauliza kwanini picha za marais wengine hazipo?
Mfano sasa ukifika hospitali utakuta picha ya Nyerere na ya Rais Magufuli.
Wakati waKkikwete ilikuwa Nyerere na Kikwete.
Wakati wa Mkapa ilikuwa Nyerere na Mkapa.
Sasa nauliza kwanini zisiwekwe picha zote ili kuwaenzi viongozi wote?
Au picha ina maana nyingine zaidi ya kumuenzi Nyerere