Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Duh......! Asante kwa maarifaMwl Nyerere ni Baba wa Taifa, Kumbuka Hilo, picha yake itabakia milele kwny office binafsi na za Umma!
Kuna kamati dunia nzima (I think Iko chini ya UN) huwa inazunguka dunia nzima kuangalia watu km hawa Ikiwa wanapewa heshima inayostahili.
Kuna office moja ya makaburu niliwahi kufanya kazi akaja mzungu mmoja Toka USA akakuta picha ya Mwal Nyerere imewekwa sehemu isioyoonekana vizuri (invisible), aisee Yule mzee alichimba mkwara akatishia kufunga office kwa mamlaka aliyonayo Ikiwa tu picha haitawekwa sehemu inayostahili.
Hahahahahaha nimecheka sanaMwl Nyerere ni Baba wa Taifa, Kumbuka Hilo, picha yake itabakia milele kwny office binafsi na za Umma!
Kuna kamati dunia nzima (I think Iko chini ya UN) huwa inazunguka dunia nzima kuangalia watu km hawa Ikiwa wanapewa heshima inayostahili.
Kuna office moja ya makaburu niliwahi kufanya kazi akaja mzungu mmoja Toka USA akakuta picha ya Mwal Nyerere imewekwa sehemu isioyoonekana vizuri (invisible), aisee Yule mzee alichimba mkwara akatishia kufunga office kwa mamlaka aliyonayo Ikiwa tu picha haitawekwa sehemu inayostahili.
Kwa nini picha ya George Washington tu ndio ipo kwenye dollar BillJamiiForums najua kuna wasomi na wote ni waelewa. Sasa nauliza kwanini picha za marais wengine hazipo?
Mfano sasa ukifika hospitali utakuta picha ya Nyerere na ya Rais Magufuli.
Wakati waKkikwete ilikuwa Nyerere na Kikwete.
Wakati wa Mkapa ilikuwa Nyerere na Mkapa.
Sasa nauliza kwanini zisiwekwe picha zote ili kuwaenzi viongozi wote?
Au picha ina maana nyingine zaidi ya kumuenzi Nyerere
Nop, i think USA $ kila note Ina kichwa cha Rais tofauti, $1 Ndio Ina kichwa cha George Washington km sikoseiKwa nini picha ya George Washington tu ndio ipo kwenye dollar Bill