hahahaha mkuu kwa hiyo linakubania?
hili lijamaa lina mke kweli? kutwa liko na shemsa ford wanakula bata na kupiga domo...hata simu ya ford ukipiga linapokea...
hili lijamaa lina mke kweli? kutwa liko na shemsa ford wanakula bata na kupiga domo...hata simu ya ford ukipiga linapokea...
Jb ameoa mke tangu 2002
Hahhhhahhhhhahha
Wacheka nn yakhe??
ok, i wish nimuone live, anaonekana waukweli.
Nimejiulizaa hvii JB anaweza kazii!!!