Picha ya Kagame umeielewaje wewe Kama wewe

Picha ya Kagame umeielewaje wewe Kama wewe

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Toa maelezo kidogo

Kagame-Naziste.jpg
 
Huyu mwamba,Training ya uofisa wa jeshi,kachukulia USA,sie nchi inaongozwa na kalani wa NGO!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliishia kati baada ya General Kaka na wenzie kumalizana na Rwigema huku wakisonga Kigali,ikabidi arudi asimamie alipoachia Rwigema.
Wengine wanasema ye ndo aliwatuma kina Gen Kaka wamalizane na Rwigema kabla hajarudi.
 
Hapo ilikuwa ni wapi?
Ni vigumu kuelewa alikuwa wapi maana hiyo nembo utumiwa vile vile na dini ya Kihindu huko India - chama cha KINAZI cha Hitler wali copy nembo hiyo kutoka India.

Kitu kingine, si ajabu kuna watu wame digitally manipulate picha ya Kagame na kui-paste kwenye background yenye nembo za KINAZI/KIHINDU.
 
Ni vigumu kuelewa alikuwa wapi maana hiyo nembo utumiwa vile vile na dini ya Kihundi huko India - chama cha KINAZI cha Hitler wali copy nembo hiyo kutoka India.

Kitu kingine, si ajabu kuna watu wame digitally manipulate picha ya Kagame na kui-paste kwenye background yenye nembo za KINAZI/KIHINDU.
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri.
 
Back
Top Bottom