Picha ya Kagame umeielewaje wewe Kama wewe

Huyu mwamba,Training ya uofisa wa jeshi,kachukulia USA,sie nchi inaongozwa na kalani wa NGO!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliishia kati baada ya General Kaka na wenzie kumalizana na Rwigema huku wakisonga Kigali,ikabidi arudi asimamie alipoachia Rwigema.
Wengine wanasema ye ndo aliwatuma kina Gen Kaka wamalizane na Rwigema kabla hajarudi.
 
Hapo ilikuwa ni wapi?
Ni vigumu kuelewa alikuwa wapi maana hiyo nembo utumiwa vile vile na dini ya Kihindu huko India - chama cha KINAZI cha Hitler wali copy nembo hiyo kutoka India.

Kitu kingine, si ajabu kuna watu wame digitally manipulate picha ya Kagame na kui-paste kwenye background yenye nembo za KINAZI/KIHINDU.
 
Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…